Monday, April 2, 2018

FULL TIME: CHELSEA 1 - 3 TOTTENHAM, DELLE ALLI AFANYA MAAJABU KWA KUONDOA UKAME WA MIAKA 28 DARAJANI!!! ATUPIA BAO MBILI NA KUWANYAMAZISHA MASHABIKI WA BLUES NYUMBANI!!!


Dele Alli akishangilia na wanatottenham wenzake uwanjani mara baada ya kuondoa ukame wa ushindi wa miaka  28 kwenye Uwanja wa  Stamford Bridge.

Alli  ameiwezesha  Spurs  kushinda kwenye Uwanja wa  Stamford Bridge tangu mwaka  1990.
Delle Alli akipambana.

Christian Eriksen alifanya 1-1 dakika za mwishoni mwa mipindi cha kwanza cha dakika 45.

Akishangilia bao lake

Alvaro Morata ndie aliyeanza kutupia bao na kufanya Chelsea iongoze 1-0 kwa bao la kichwa.

Morata akikumbatiwa kupongezwa Darajani!!