Tuesday, April 10, 2018

KAPOTIVE Star Singers washiriki tamasha LA Hallelluia Festival, Mbarara - Uganda.

Tamasha hilo lilianza kwa maandamano Asubuhi.Waimbaji wa Kikundi cha Kapotive Star Singers-Bukoba wakiwa Tayari kutoa Burudani wakati wa Tamasha la Halleluiah Festival kwenye Mji wa Mbarara Nchini Uganda.