Friday, April 6, 2018

LINGARD NA MARCUS RASHFORD KUWATIBULIA MAN CITY PARTY YAO YA UBINGWA!

Lingard na Rashford, Wamepanga kuibana Man City wikiendi hii City wamepoteza juzi kwenye Klabu Bingwa Ulaya 3-0 kutoka kwa Liverpool na sasa mtanange unaofata ni kwao huko Etihad dhidi ya Man United.
City walishinda 2-1 huko Old Trafford mwezi Desemba lakini historia yao upoteza wakiwa kwao mara nyingi dhidi ya Man United.